News
Loading...

UNAMTONG*ZAJE MSICHANA...?

 
Muda au Pesa Nyingi!"
Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu. Kuna sanaa zingine za ushawishi kama vile ushawishi wa kibiashara ambapo lengo ni kuuza bidhaa. Na kuna ushawishi wa kisiasa ambapo lengo ni kupata kura.
Wakati sanaa karibia zingine zote za ushawishi ni rahisi kujifunza, sanaa ya kutongoza watu wengi wanasema eti haifundishwi ... eti kila mwanaume anajua kutongoza.

Sio Kweli !!!
Sio kweli kwamba kila mwanaume anajua kutongoza, kwa sababu kuna mwanaume anaweza akongea na demu mpya leo na wakapatana leo leo, au akichelewa sana basi ndani ya wiki moja; wakati huo huo kuna wanaume wengine wanahangaika miezi au hata miaka 5. Au wengine wanatoboka sana mifukoni .... unakuta mtu anampangishia demu nyumba, au anamlipia ada ndio ale mzigo. Wakati huo huo kuna wengine wanakula hapo hapo bure, tena bila kunawa!

 
Share on Google Plus

About kilaza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment