Wanawake ni watu wa vikwazo. Wenyewe wanasema wanaweka vikwazo ili kukupima kama una "mapenzi ya kweli". Unachotaka wewe ni kimoja. Kula mzigo. Maana inabidi ule mzigo kwanza, ndo ujue kama uendeleze mapenzi yawe ya kweli ... au upotezee. Au sio jamani, wengi mnayatambua hayo?
Ila yeye atakuwekea vikwazo kibao kama vifuatavyo:
- Niko kwenye period
- Nina boyfriend / mume / mchumba
- Ninaumwa (malaria/tumbo/kichwa/n.k.)
- Mama yangu mgonjwa
- Niko bize na kazi
- Nimeokoka nampenda Yesu! Mwanaume wangu ni Yesu tu!
- Wiki hii nina test (kwa wanavyuo)
- Mi sitaki mambo hayo, mpaka nimalize masomo nipate na kazi
- Mi bado mdogo
- Sitaki!!
- Nyumbani kwetu geti kali siwezi kutoka
- Wewe sio mwanaume wa type yangu (mfupi sana/mweusi sana/mweupe sana/huna hela/n.k.)
- Mi sitoki/siongei na watu nisiowajua (strangers)
- Sijisikii kuwa na wewe / sikupendi!
- na kadhalika
Je ni mara ngapi umekwamishwa na mojawapo ya vikwazo kama hivyo hapo juu?
Utajisikiaje nikikwambia kuwa vikwazo vya dizaini hiyo vingi ni geresha tu ... sio vikwazo kwa maana ya vikwazo bali ni fursa nzuri kwako kupata unachotaka?
Na bomba zaidi je unajua mbinu za kutumia ili kumfanya mwanamke asikupe kabisa vikwazo kama hivyo? Ukimtongoza mwanamke vibaya atakuwekea vikwazo vingi na hata kama utampata atakuwa ashakuzungusha sana na kukupotezea muda na pesa. Ukiwa na mbinu za kuzuia vikwazo maisha yako yatakuwa rahisi zaidi.
Sasa Mpango Mzima Uko Namna Hii...
FUATILIA MAANDIKO YETU TUTAZIDI KUWAANDIKIA AU VIPI WASOMAJI WETU... MAPENZI MEMA.
Blogger Comment
Facebook Comment